Friday, 26 June 2015

KWA ATAKAYE IPATA PASPOT YA SHETA DAU NONO HAPA

LAYIIII
Shetta amepoteza passport yake ya kusafirisha na kuamua kuweka tangazo kkwenye vyomba mbalimbali vya habari kwa mtu yoyote atakayefaniki kupatikana kwa passport hiyo.

Ahadi ya Shetta kwa atakayeipata passport yake iliyopotea…#Uheard (Audio) 

shee
Shetta amepoteza passport yake ya kusafirisha na kuamua kuweka tangazo kkwenye vyomba mbalimbali vya habari kwa mtu yoyote atakayefaniki kupatikana kwa passport hiyo.

Tangazo hilo pia limemfikia Soudy Brown na kuamua kumtafuta kujua ukweli wa tukio hilo na yeye mwenyewe kusema hakumbuki ni wapi paspoti yake imepotelea kati ya kwenye gari na nyumbani kwake na imembidi kuahirisha na kusogeza mbele safari yake ya Comoro hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

advertise here