Wednesday, 30 November 2016

NJAMA 638 ZA MAUAJI ALIZOEPUKA FIDEL CASTRO

Fidel Castro akivuta sigara yakehttps://www.youtube.com/watch?v=HiiQM9u2tT0
Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637 dhidi ya maisha yake ni zipi?
Shirika la kijasusi nchini Marekani CIA na watu waliotoroka Cuba wakati wa uongozi wa Castro walitumia nusu ya karne moja kufanya njama za kumuua kiongozi ambaye taifa lake lina athari

VIDEO: WAZIRI MKUU MAJALIWA, JK WALIVYOSHIRIKI KUAGA MWILI WA MZEE PINDA DODOMA

November 30 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete waliungana na baadhi ya watanzania katika kutoa salamu zao za mwisho kwa aliyekuwa baba mzazi wa Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda mzee Xavery Pinda aliyepelekwa mkoani Katavi kwa ajili

advertise here