November 30 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete waliungana na baadhi ya watanzania katika kutoa salamu zao za mwisho kwa aliyekuwa baba mzazi wa Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda mzee Xavery Pinda aliyepelekwa mkoani Katavi kwa ajili
ya mazishi.
ya mazishi.
Unaweza kutazama matukio yote kwenye hii video hapa chini…
No comments:
Post a Comment