Thursday 7 July 2016

BIFU LA ‘JIKE SHUPA’ NA SHILOLE MTANDAONI, NUH MZIWANDA AFUNGUKA

SUBSCRIBE KTK CHANNEL YETU HAPA
Hivi karibuni kumekuwa na mabishano kwenye mitandao ya kijamii kati ya video queen wa ngoma ya Nuh Mziwanda na aliyekuwa na mpenzi wake Shilole, Nuh Mziwanda amepiga stori na Clouds FM.
Mziwanda Akiwa na video queen  wa kwenye video ya jike shupa
Mziwanda Akiwa na video queen wa kwenye video ya jike shupa
‘’Wale ni wanawake kwahiyo zile ni tofauti zao kwahiyo siwezi kuingilia na siwezi kuongea chochote yule demu mie nilimlipa pesa yake ya video akafanya kazi yangu kamaliza masuala yake yanayoendelea kimpango wake, kwahiyo siwezi kuingilia na wala sitaki kufuatilia na wala sitaki kujua kwasabbau nimeshamalizana
naye. Yale ni maisha yake binafsi siwezi kuingilia’’ Alisema Nuh Mziwanda.
SKILIZA SWAGA ZA SHILOLE HAPA MTU WANGU Cloudsfm.com

No comments:

Post a Comment

advertise here