Tuesday 12 July 2016

DARAJA LA KIGAMBONI LAINGIZA BILIONI 1.3



Tangu daraja jipya la Kigamboni lianze kutumika rasmi tarehe 19/04/2016 limekusanya jumla ya shilingi bilioni 1.3 kutokana na tozo za vyombo vya usafiri.



Daraja hilo liligharimu dola za kimarekani milioni 136 ambazo ni takribani bilioni 300 kwenye ujenzi wake.

No comments:

Post a Comment

advertise here