Mkoa
wa kwanza kufikwa na tour ya Ali Kiba ni Kilimanjaro ambapo Moshi
walipata nafasi ya kushuhudia show ya Ali Kiba kwenye stage na wimbo wa
Cheketua kwa mara ya kwanza Club La Liga.
Kampuni iliyo kuwa ikisubiriwa na wasanii wengi wachanga na wale walio na kipaji ila wameshindwa kabisa kukiendeleza sasa ni wakati muhafaka kutembelea kampuni ya TBCUE