Mkoa wa kwanza kufikwa na tour ya Ali Kiba ni Kilimanjaro ambapo Moshi walipata nafasi ya kushuhudia show ya Ali Kiba kwenye stage na wimbo wa Cheketua kwa mara ya kwanza Club La Liga.
Show hii pia ilisindikizwa na Recho kutoka THT,kwa maelezo ya Ali Kiba mbali na kuiperfoam Chekecha kwa mara ya kwanza Moshi pia imekua mara ya kwanza kwake kuperfoam akiwa na live band Moshi,miongoni mwa watu waliokuwepo ukumbini ni pamoja na baba mzazi wa Mwana FA.
Nimeambiwa kwamba leo ni zamu ya watu wangu wa Arusha kucheketua kwa pamoja kwenye viunga vile Triple A.
No comments:
Post a Comment