Kampuni iliyo kuwa ikisubiriwa na wasanii wengi wachanga na wale walio na kipaji ila wameshindwa kabisa kukiendeleza sasa ni wakati muhafaka kutembelea kampuni ya TBCUE
ili kuweza kupata suruhu zao tbcueltd.blogspot.com
tukizungumza na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo ndugu Emmanuel Mwembwa amesema kwamba kampuni itasimama imara kama atafanikiwa kupata mwekezaji mzuri katika kampuni yake kwa sababu kampuni katika hatua za awali imefikia pazuri na mpaka sasa inasimamia wasanii kama swaxbz ambaye ni msanii mchanga kabisa wa hip hop na commercial miondoko ya mwanamziki AY
SWAXBZ ON POZ
KWA mawasiliano na TBCUE unaweza kutembelea blog yao ya tbcueltd.blogspot.com au fika katika ofisi zao zilizoko sinza uzuri mkabala na TBCC HOUSE sinza darajani

No comments:
Post a Comment