Friday, 18 March 2016

MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA OMMMY DIMPOZ NA DIAMOND PLATNUMZ YANATIA KIGUGUMIZI ........

LAYIII
“Hapa hakuna mambo ya kufichaficha, kwamba haina noma hata jana nilikuwa naye. Vitu viko wazi vinaonekana hatuko karibu kama zamani, hilo liko wazi. Lakini itakapotokea huko mbele mimi sina tatizo kabisa,” amesema.
BONYEZA PICHA KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE

Ommy Dimpoz aliwahi kuwa rafiki mkubwa wa Diamond lakini urafiki wao kwa sasa umeonekana kupungua au haupo kabisa.

Hitmaker huyo wa ‘Achia Body’ ametueleza hali ilivyo sasa.

Amesema hana ukaribu sana na Diamond kwa sasa lakini hana tatizo naye.

MHADHIRI ALIYE IGIZA FILAMUN YA NGONO AJIUZURU

LAYIII
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO NAMI YOUTUBE USIACHE SUBSCRIBE NAMI 
Goddard
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
Amekuwa akifunza kama Profesa na vilevile kuigiza kisiri katika filamu za ngono.

SIMBA ATOROKA KATIKA HIFADHI NA KUJERUHI KENYA

LAYIII
Wiki kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
BONYEZA PICHA HAPO CHINI KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Wiki kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
Leo March 18 2016 inaripotiwa tena Simba mmoja ametoroka kutoka Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini

advertise here