Friday 18 March 2016

MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA OMMMY DIMPOZ NA DIAMOND PLATNUMZ YANATIA KIGUGUMIZI ........

LAYIII
“Hapa hakuna mambo ya kufichaficha, kwamba haina noma hata jana nilikuwa naye. Vitu viko wazi vinaonekana hatuko karibu kama zamani, hilo liko wazi. Lakini itakapotokea huko mbele mimi sina tatizo kabisa,” amesema.
BONYEZA PICHA KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE

Ommy Dimpoz aliwahi kuwa rafiki mkubwa wa Diamond lakini urafiki wao kwa sasa umeonekana kupungua au haupo kabisa.

Hitmaker huyo wa ‘Achia Body’ ametueleza hali ilivyo sasa.

Amesema hana ukaribu sana na Diamond kwa sasa lakini hana tatizo naye.

“Hapa hakuna mambo ya kufichaficha, kwamba haina noma hata jana nilikuwa naye. Vitu viko wazi vinaonekana hatuko karibu kama zamani, hilo liko wazi. Lakini itakapotokea huko mbele mimi sina tatizo kabisa,” amesema.

Kwa upande mwingine Ommy amedai kuwa anachofanya kwa sasa ni kujikita kwenye mambo yake zaidi.

Ungana nami youtube kujua kilichojili kuhusu ile swala la vulcano

-bongo5
 Source na bongoswagzz.com

No comments:

Post a Comment

advertise here