LAYIII
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.
BONYEZA PICHA KUONA ILE VIDEO YA VOLCANO ILIYO TOKEA NDANI YA MAJI

Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds
TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema
bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia
muziki wamemtupa.
Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila siku katika
wiki, lakini kwa sasa mambo yamebadilika kabisa. “Matatizo yangu na
stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu unapungua
kwasababu siko okay, siko poa, siko sawa yaani,” alisema.
Chidi amedai kuwa kuna watu wanaamini kuwa kama akiwa juu, wasanii wengi
wa hip hop watakuwa na wakati mgumu. “Hawa Joh Makini sijui, nani
wanakuwa hawapo. Sasa hakuna mdau anayeweza kukubali akina Joh Makini
wasikuwepo awepo Chidi Benz peke yake,” alisema.
Katika hatua nyingine Chidi alisema pamoja na afya yake kuzorota, hivi
karibuni alipiga show kwa masaa mawili hadi mama yake akalia. "Mama
yangu akaniambia mwanangu unafanya show two hours, show kali watu
wanapenda unachokifanya lakini sioni mwamko wa watu kutokea kukusaidia,
kwahiyo tufanye mpango watu wakusaidie' na mimi namuambia nataka watu
wanisaidie, natamani kusaidiwa, natamani kupata mafanikio anayopata
Diamond," alisisitiza.
No comments:
Post a Comment