Saturday, 19 March 2016

ISHUDIE HII MWIZI AKIMNG`ANG`ANIA POLISI APELEKWE KITUONI

LAYIII
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda vizuri
 BONYEZA PICHA KUSHUDIA AJALI YA MOTO YA KITUO CHA MAFUTA HUKO SUMBAWANGA
 
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda vizuri polisi,Lakini kilisikika kilio kutoka kwa mwizi huyo aliyejitambulisha kwa jina la alfani akisema” kaka mkubwa afande twende wote sentro kaka watanimaliza
hawa baba yangu afande’’na raia nao walizidi kumuomba afande yule amuachie wizi huyo,kwa bahati nzuri lilikuja gari la polisi na kuondoka nae..
ILIKUPITA HII YA MWANAMKE ALIYEKUWA AKICHEZA OFISINI


No comments:

Post a Comment

advertise here