Kikwete amesema kuwa anashangazwa na dhana hiyo potofu inayojengwa na watu bila kujua ukweli wa mambo, ambapo ameweka wazi kuwa yeye ni kijana mpiganaji na mwenye kupenda mafanikio,
lakini hana umiliki wa mali nyingi kama ambavyo imekuwa ikisemwa.
lakini hana umiliki wa mali nyingi kama ambavyo imekuwa ikisemwa.
Ridhiwan ambaye ni mtotot wa Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amesema mali zake ni za kawaida na amezipata kwa njia halali, huku akisimulia jinsi alivyowahi kuwakuta watu wakimjadili yeye kuhusu mali zake, bila watu hao kujua kuwa yeye ndiye Ridhiwan Kikwete.
No comments:
Post a Comment