Thursday, 16 February 2017

VIDEO: MAAMUZI YA MAHAKAMA KUHUSIANA NA KESI YA MANJI

Leo kwenye Mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar es salaam alifikishwa Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni mwenyekiti wa Club ya Yanga, Yusuph Manji ambaye alikua akishikiliwa na jeshi la Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Mahakamani hiyo imetoa dhamana kwa mfanyabiashara huyo na ameachiwa kwa dhamana, amejidhamini mwenyewe kwa Tsh milioni 10 na mdhamini mmoja
KUTANA NA VIDEO YA HOUSE GIRL MCHAWI HAPA  USIACHE KUSUBSCRIBE MTU WANGU
  milioni 10, kesi itasikilizwa tena March 16 2017.
  Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10. Manji alipandishwa kizimbani leo kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kutumia dawa za kulevya.

No comments:

Post a Comment

advertise here