Tuesday 8 September 2015

GWAJIMA ATEMA NYONGO AMWANIKA DOKTA SLAA HADHARANI NI KATIKA BZ MORNING YA MAGAZETI YA LEO

LAYIII
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Septemba 9,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya

JINSI GWAJIMA ALIVYO MJIBU DOKTA SLAA

LAYIII
Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, baada ya siku kadhaa kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Viko vya CHADEMA pamoja na Vyama vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado

TAARIFA KUTOKA OFISI YA TAKWIMU KUHUSU MFUMUKO WA BEI MWEZI AGOST 2015

LAYIII

#RIP mtu mfupi zaidi Duniani, anaefatia kushika rekodi hiyo ??( na millardayo)

layiii
Headlines zilibeba stori kubwa November 13 2014 kuhusu Sultan Kosen, raia wa Uturuki ambae ndio mtu mrefu zaidi Duniani pamoja na Chandra Dangi Raia wa Nepal ambaye alikuwa anashikilia

50 CENT KATIKA HEADLINE TENA ATANGAZA KUISHI KATIKA NYUMBA YAKE ILIYOPO AFRIKA

LAYIII
50 Cent siku zote ni mtu wa masuprise tu mtu wangu, mwezi July rapper huyo alitangaza kuwa amefilisika na idadi ya mali nyingi alizonazo si zake bali ni mali za mkopo, badaae tukasikia kuwa

advertise here