Saturday, 5 March 2016

TCRA Yakiri Zigo Remix ni Wimbo Mkubwa na Unaopendwa Sana.

LAYIII
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imekiri kuwa wimbo wa AY, Zigo Remix aliomshirikisha Diamond unapendwa sana

MBOWE ALIVYOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA JAY METTY
Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri  ya jiji kutaka kujua tarehe ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016 Mwenyekiti wa  CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alikutana na waandishi wa habari na kueleza…
Hatutaomba tena kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam, tutadai

USIKU WA LEO TANZANIA IMECHUKUA TUZO MBILI "Nigeria Africa Magic Awards 2016"

LAYIII
Mach 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba  alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.
Wasanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike wamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu) amechukua Tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike amechukua Tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawili

KAMA HUKUJUA JAY Z NA BEYONCE WAMEBWAGANA

LAYIII
Bonyeza picha kuiona video ya jay metty

Bado taarifa zinaendelea kuitafuna familia ya Carters, na uvumi mkubwa ni kwamba huenda vipepeo hawa wawili yani rapa Jay z na Beyonce wamemwagana na kupeana talaka.
Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki wa Beyonce,

advertise here