Saturday 5 March 2016

MBOWE ALIVYOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA JAY METTY
Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri  ya jiji kutaka kujua tarehe ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016 Mwenyekiti wa  CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alikutana na waandishi wa habari na kueleza…
Hatutaomba tena kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam, tutadai
kumpata Meya, Serikali wasifikiri watapanga wao tarehe ya kumchagua Meya, wamekuwa na utaratibu wa kutaka tarehe ya kumchagua Meya kwa kutushtukizia masaa 24 kabla‘
‘kanuni inadai siku saba, tutataka tarehe ya kuchagua na siku hiyo atachaguliwa Meya asipochaguliwa Meya siku hiyo tusilaumiane, hatuwezi kususia uchaguzi wa Meya kwa sababu ni haki yetu kuongoza jiji’
Unaweza kuitazama hapa full video hapa chini…

No comments:

Post a Comment

advertise here