Bado taarifa zinaendelea kuitafuna familia ya Carters, na uvumi
mkubwa ni kwamba huenda vipepeo hawa wawili yani rapa Jay z na Beyonce
wamemwagana na kupeana talaka.
Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki wa Beyonce, Kelly Rowland, mama
Blue Ivy alisimama mbele za watu na kuivua pete akiahidi kutoivaa tena.
Ilibidi watu kumzua ili asilizungumzie zaidi swala hilo.
No comments:
Post a Comment