Copa America ndio story nyingine kubwa kwenye soka Duniani kwa sasa, imechezwa tayari mechi ya Argentina VS Paraguay… matokeo ilikuwa Argentina kushinda goli 6-1, lakini kilichonivutia ni hiki hapa.
Japo Cristiano Ronaldo anatajwa kuwa ndio mchezaji wa soka mkali kabisa Duniani na ana Tuzo yake ya Ballon d’Or kwa mara tatu mfululizo, wapo wanaoamini Lionel Messi ndio mkali zaidi !!
Nina hivi vipisi vya video vinavyoonesha ukali mwingine wa Lionel Messi akiwa Uwanjani, play uone wachezaji wawili walivyoachwa kwenye mataa mtu wangu!!