LAYIII
Big Sean amekuja na style tofauti kwenye video yake mpya: FOCUS (Vlog)!
Msaani wa Hip Hop Big Sean anaziweka headlines za leo ubaoni na video yake mpya iitwayo Focus (Vlog),
video ambayo inakuonyesha ramani ya behind the scenes ya baadhi ya
projects zake ikiwemo performamces zake pia, na video hii ipo kwa mtindo
wa makala fupi ambayo ndani yake Big Sean anatoa ujumbe kwa fans wake.
No comments:
Post a Comment