LAYIII
Baada ya kimya kingi Ray J arudi na video mpya Brown Sugar , pembeni Lil Wayne!
Willam Ray Norwood.Jr ni mtunzi wa nyimbo, record producer, mwigizaji na msanii wa RnB wa Marekani anayefahamika kwa jina lake la kisanii Ray J. Licha ya hayo Ray J ni mdogo wa msanii maarufu wa RnB na mwigizaji Brandy Norwood na binamu wa kwanza wa rapper maarufu duniani Snoop Dogg.
Mwezi wa tano msanii huyu alizishika headlines alipoachia wimbo wake mpya uitwao Brown Sugar ambao ndani yake msanii mwengine mkubwa wa Hip Hop Lil Wayne ameshirikishwa, na leo Ray J anatusogezea offcial video ya wimbo huwo.
No comments:
Post a Comment