LAYIII
Headlines za Entertainment Marekani zilikuwa na story ya Rick Ross kukamatwa na kuwekwa ndani yeye pamoja na bodyguard wake, kesi yao ilikuwa ni ishu ya kuteka na kujeruhi watu wawili.

July 01 2015 kapandishwa Mahakamani, Georgia Marekani.. Kesi ikasomwa na milango
ikawa wazi kwa jamaa kuwekewa dhamana.
ikawa wazi kwa jamaa kuwekewa dhamana.
Yuko Uraiani baada ya Mahakama
kukubali dhamana ya dola Milioni 2 (ni zaidi ya Bilioni 4 Tshs), na sio
hiyo pekeake.. kuna masharti ambayo Mahakama imempa pia, ikitokea
akaingia mtaani alafu akavuruga tena basi atakuwa amelipoteza Jumba lake
lenye thamani ya zaidi ya Bilioni 5 !!
Rick hajaachiwa hivihivi mtu wangu, Mahakama imeamrisha jamaa afungwe kifaa ambacho kinaitwa GPS Monitor mguuni, kokote anakopita wao watakuwa wanamfuatilia.
Hiki ni kipande cha video ya kwanza toka Mahakamani, hapa mashitaka yanasomwa.
Hiki ni kipande cha video ya pili.
No comments:
Post a Comment