Thursday 2 July 2015

MCHEKI WANAFUNZI ALIYE INGIA KATIKA JENEZA KUSUPRISE JAMAA ZAKEKTK GRADUATION YAKE

LAYIII
Niliwahi kukuletea stori ya bibi harusi kuamua kufanya surprise kwa mume wake pamoja na wageni waalikwa siku ya harusi, akajipanga na kuingia zake Ukumbini akiwa ndani ya jeneza.. lengo lake ilikuwa afanye tu kitu tofauti na kuvunja rekodi yake mwenyewe.
cof

Mwanafunzi kaona aingie na jeneza kwenye Graduation yake…

Niliwahi kukuletea stori ya bibi harusi kuamua kufanya surprise kwa mume wake pamoja na wageni waalikwa siku ya harusi, akajipanga na kuingia zake Ukumbini akiwa ndani ya jeneza.. lengo lake ilikuwa afanye tu kitu tofauti na kuvunja rekodi yake mwenyewe.
Leo nakuletea hii nyingine ambayo imetokea Uingereza, mwanafunzi mmoja kaingia kwenye sherehe za mahafali ya kumaliza Shule akiwa ndani ya jeneza, wakati yeye  anakuja kihivyo wenzake walitumia magari na usafiri mwingine kawaida kabisa kwenda kwenye Sherehe hiyo.
Simom May alikuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Alder Grange Community and Technology School, Rossendale Uingereza… aliingia maeneo ambapo ilikuwa ikifanyika Graduation hiyo akiwa ndani ya jeneza.
Simon hakuwa pekeake, alisindikizwa na wapambe wake pamoja na mdogo wake ambaye inasemekana ndiye alimshauri kuja na mtindo huo tofauti.
bigstock-White-Coffin-In-A-Grey-Hearse-22992350
Kitendo hicho kilionekana kuwafurahisha na kuwashangaza wanafunzi wenzake pamoja na walimu waliohudhuria sherehe hiyo.

No comments:

Post a Comment

advertise here