LAYIIII
Kumekuwa na headlines tofauti tofauti katika mitandao zikiwahukumu wachezaji wa timu ya ‘Taifa Stars’ kutojua lugha ya kingereza ndio chanzo iliyopelekea kutofanya vizuri uwanja na kutoelewana na aliyekuwa MSIKIE MWENYEWE HAPA MTU WANGU kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mart Nooi.

Eti wachezaji wa Taifa Stars walikuwa hawakuelewa Kingereza?, Cannavaro kanyoosha mkono
Kumekuwa na headlines tofauti tofauti
katika mitandao zikiwahukumu wachezaji wa timu ya ‘Taifa Stars’ kutojua
lugha ya kingereza ndio chanzo iliyopelekea kutofanya vizuri uwanja na
kutoelewana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa
Stars’ Mart Nooi.
Sasa leo July 2, 2015 Nadir Haroub a.k.a Cannavaro amefunguka na kuelezea hujuma hizo…‘Sisi
wachezaji tunaumia zaidi kuliko mashabiki kwasababu maisha yetu
tunategemea mpira tunapopata matokeo mabaya familia zetu zinakaa na
njaa, kwanza tunakosa fedha tunazoahidiwa, tunakosa pia kuthaminiwa na
watu nje unajua unapofanya vibaya watu hawawezi kukusapoti sisi tunaumia
zaidi.
Kwa
suala la mwalimu kusema kuwa watu hawajui kingereza sio kweli, kwani
suala la mpira ni vitendo mwalimu anakuambia fanya hivi hivi na mchezaji
unaelewa nini cha kufanya, matokeo yanatokea kwenye mpira unaweza
ukashindwa au ukafungwa, sisi tunaumia sana na tunataka matokea mazuri
ili tupate kuheshimika kwenye vilabu vyetu. Tutajitaidi na nitawaambia
wenzangu to force kila game ambayo itakuwa mbele yetu tuweze kupata
matokeo mazuri, sisi kwanza tunatarajia kuanzia mechi na Uganda
tukishinda moja tukishinda mbili ilimradi turudishe imani kwa
watanzania…’alisema.
No comments:
Post a Comment