Lowassa achukua fomu za kuwania urais
10 Agosti 2015 Imebadilishwa mwisho saa 14:45 GMT
Pilika
pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa,
ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa
mkono na umoja wa vyama vya upinzani