Sunday, 4 October 2015

KIKGUNGU HAYA NDIYO MAAMUZI YAKE

LAYIII
Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombare Mwiru leo ametangaza kujiondoa ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM na sasa atakuwa mwananchi huru.
Kingunge amezungumza leo mbele ya waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake Kijitonyama, Dar es salaam.

PICHA ZA AWALI NYUMBANI KWA MAREHEMU MTIKILA

LAYIII
Kwenye list ya Wanasiasa walioamua kuingia kwenye Mchakato wa Uchaguzi Mkuu Tanzania utakaofanyika October 2015, alikuwepo pia Mwanasiasa Mkongwe, Mchungaji Christopher Mtikila ambaye alitangaza kugombea nafasi ya Urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP).

advertise here