LIKE PAGE YETU HAPA
Wizara ya maswala ya kigeni nchini China imekana ripoti kwamba kampuni
za chakula nchini humo zinaweka nyama ya binaadamu na kuuza barani
Afrika kama nyama ya ng’ombe.
Chombo cha habari nchini humo Xhinua kimesema kuwa jarida moja nchini Zambia lilimnukuu kimakosa mwanamke mmoja ambaye hakutajwa anayeishi China.
Alisema kuwa kampuni za China zilikuwa zikichukua miili ya wafu kuitia katika viungo na kuiweka katika mikebe.
Msemaji wa China Hong Lei amesema kuwa ripoti hizo hazina uwajibikaji.
Balozi wa China nchini Zambia,Yang Youming ,amesema kuwa ripoti hizo zililenga kuharibu