Tuesday 24 May 2016

ALI KIBA NA KAMPUNI YA SONY .VIJUWE VIJEMBE JUU YAKE VINAVYOENDELEA

LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
bonyeza hapa kuiona interview ya king kiba hapa
https://citizentv.co.ke/wp-content/uploads/2015/07/Ali-Kiba.jpgMuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania unazidi kupata nafasi ya kuwa muziki mkubwa duniani.Hii ni baada ya msanii Ali Kiba kusaini mkataba na kampuni ya Sony , kampuni inayojihusisha na kazi ya kusimamia wasanii.Baadhi ya wasanii wengine wakubwa wa kimataifa waliosimamiwa na Sony ni
kama Beyonce, John Legend na Chris Brown. Mwandishi wetu Omary Mkambara amezungumza na msanii huyo na hii hapa taarifa yake.
ulikosa kuona interview hii ya king kiba

No comments:

Post a Comment

advertise here