Saturday, 25 July 2015

MAAJABU YA KUTISHA MWANAMKE AJIFUNGUA NYANI AKATI NGURUWE KAJIFUNGUA WATOTO WA BINADAMU{ inawezakuwa ya muda ila ya kwanza kwako habari hii)

layiii




Mwanamke mmoja amejifungua mtoto wa ajabu anayefanana na Nyani jumatatu iliyopita katika hospitali ya

Kargoko baada ya muda mrefu sana ya uchungu ambao haukuwa na kikomo.


Ripoti zinasema huyo mama anayetoka katika kijiji cha SabonIceh alizaa mtoto ambaye anafanana kabisa na

nyani akiwa na macho ambazo si za kawaida pamoja na miguu.


Moja kati ya manesi waliomzalisha huyo mama amesema kuwa huyo mama alileletwa hospitalini saa 1 na

nusu asubuhi na walimkimbiza Chumba cha kujifungulia mara tu baada ya kufika hapo.



Baada ya kujifungua waligungua kuwa yule mtoto hakuwa binadamu wa kawaida.


Huyo mtoto wa ajabu alizaliwa akiwa na kilo 4 na mama yake alipoteza damu nyingi sana.

source: http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/484626-mwanamke-ajifungua-mtoto-anayefanana-na-nyani-2-print.html 

No comments:

Post a Comment

advertise here