Tuesday, 21 July 2015

ALIYEGEUKA NUSU NYOKA VIDEO YAKE HAPA ENZI ZA UTOTO WAKE

LAYIII
Kama ulifatilia ile post ya juzi nilikuwekea picha za mwanamke aliye kuwa nusu nyoka sasa camera yetu imezipata video zao zote zifate hapo chini ndugu yangu

picha nyingine hapa alifichwa sana ili watu wasijue kama yupo huyu hapa mcheki katika video hiii

NIMEKUWEKEA VIDEO UONE BINADAMU ANAVYOUMBWA .........HAYA NDO MAAJABU YA MWENYEZI MUNGU

LAYIII
Ikiwa ni siku chache wanasayansi walivyokuwa wakijaribu  kumtengeneza binadamuna juhudi zote kukwama nimeamua kukuletea video ujionee jinsi binadamu anavyoumbwa utaona ukuu wa mungu ulivyo jamani mwacheni mungu aitwe mungu yeye ndio muweza



DIAMOND AMJIBU JOKATE AMSHANGAA JOKATE KUTOA PONGEZI KWAKE

LAYIII

Diamond Amjibu Jokate, Amshangaa Kwakutoa Pongezi

Diamond Amjibu Jokate, Amshangaa Kwakutoa Pongezi

 
Kutangaza hapa piga : 0766900009
UNGEPENDA KUJUA MWANAMKE ALIYEGEUKA NYOKA BASI FATA LINK CHINI
Tembelea :http://www.swaxbz.com/2015/07/mwanamke-ageuka-nyoka-mtu-jamaniii-ndo.html
Mkali wa ngoma ya Nana,ambaye amenyakua tuzo ya MTV MAMA kama Mtumbuizaji Bora wa Afrika,Diamond Platnamz amemjibu mwanamitindo Jokate Mwegelo baada kuandika ‘status’ kwenye akaunti ya Instagram yake na kumpongeza msanii huyo kunyakua tuzo na kusema mbona hakumsapoti kwa kumpost kwenye akaunti yake kabla ya kutwaa tuzo hiyo.

SASA NI ZAMU YA IRENE UWOYA

LAYIII
Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge viti maalumu mkoani Tabora.

.
.
Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua fomu

Donald kaisambaza hii na Diamond Platnumz leo

LAYIII
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Time hii nakukaribisha kuisikiliza hii single mpya aliyoshirikishwa na msanii kutoka South Africa Donald wimbo unaitwa ‘Wangu’.
.
.
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Time hii nakukaribisha kuisikiliza hii single mpya aliyoshirikishwa na msanii kutoka South Africa Donald wimbo unaitwa ‘Wangu’.

Nay wa Mitego kamvalisha pete Shamsa?, Rabbit katua kufanya video, Crazy GK kauzungumzia muziki wa TZ..#255 (Audio)

LAYIII
sham
Rabbit msanii kutoka pande za Kenya amedondoka Bongo kufanya video na G Nako, Joh Makini,Rich Mavoko..amesema amekuja kufanya kazi na Director wa huku..anataka kujaribu kufanya kazi na watu mbalimbali.
rabit
Rabbit
Pia mkongwe kutoka ECT, Crazy GK amesema kitu kinachomis kwenye muziki wa Tanzania ujuzi wa muziki…wengi wanajaribu bado hawana ujuzi wa kutosha kwenye muziki..

HIZI NDIO LAWAMA ZA MOURINHO KWA FC PORTO

LAYIII
Iker Casillas amelelewa na Klabu ya Real Madrid ya Hispania kwa miaka 25, ndani ya kipindi hicho ameichezea Klabu hiyo kwa miaka 16, lakini mambo yakabadilika baadae ambapo mwezi huu alitangaza kuhamia Klabu ya FC Porto ya Ureno kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi.

Mourinho analaumu FC Porto kumsajili Casillas pamoja na mshahara wake?

jose-mourinho-chelsea_e5smuyx0q03h1346wwab0ldj5
Iker Casillas amelelewa na Klabu ya Real Madrid ya Hispania kwa miaka 25, ndani ya kipindi hicho ameichezea Klabu hiyo kwa miaka 16, lakini

Floyd Mayweather KUKUTANA NA HUYU JAMAA ULINGONI

LAYIII

Andre
Andre Berto
Jina la Floyd Mayweather ni moja ya majina ya mastaa wachache waliochukua headlines nyingi zaidi mwaka 2015, mwaka uko katikati na bado anaendelea kuchukua nafasi hiyohiyo ya juu… mara nyingi kuna stori ya yeye kustaafu mchezo wa Ngumi, mpango wake uko palepale ila leo tutamjua mpinzani wake mwingine.
FMAY
Floyd Mayweather
Pambano lake linalofuatia litakuwepo September 12 2015, na tayari majibu yako on air kwamba atakayepambana nae ni Andre Berto, Bondia ambaye ana rekodi ya kushinda Mapambano 33 na amepigwa kwenye Mapambano matatu.
Floyd Mayweather ameshinda jumla ya mapambano 48, hajapigwa hata pambano moja… Berto ataweza kuianguisha record ya huyu jamaa?
may

advertise here