Tuesday 21 July 2015

SASA NI ZAMU YA IRENE UWOYA

LAYIII
Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge viti maalumu mkoani Tabora.

.
.
Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua fomu
ya kuwania Ubunge viti maalumu mkoani Tabora.
.
.
Taarifa hizi zimethibitishwa na msanii mwenzake ‘William Mtitu’ kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda – @
williammtitu

No comments:

Post a Comment

advertise here