Monday, 15 June 2015

DUUUU CLUBU MAISHA YA DAA KWISHINEYIIII??????????

NA LAYIII ON SPOT
Jana pale New Maisha Club Masaki kulikuwa na party ya kufungwa kwa club hiyo…  Watu wa nguvu walienjoy na burudani ya show toka kwa Shetta, Amini, Dudubaya, Snura pamoja na Nuh Mziwanda.

New Maisha Club haitokuwepo tena Osterbay Dar es salaam, stori kamili hapa

Screen Shot 2015-06-15 at 10.00.06 AMJana pale New Maisha Club Masaki kulikuwa na party ya kufungwa kwa club hiyo…  Watu wa nguvu walienjoy na burudani ya show toka kwa Shetta, Amini, Dudubaya, Snura pamoja na Nuh Mziwanda.
HK ambae ndio Manager wa Club Maisha amesema wanafunga ili kubadili mazingira, Club hiyo itahamishiwa maeneo ya Kijitonyama nyuma ya jengo la Millenium Tower  ambapo Club hiyo itakuwa kwenye Jengo la underground kabisa.

BAADA YA KIBA KUCHUKUA TUZO 6 ZA KILI WEMA NA JOKATE DUUUUUU............MANENO YAOOO HAPO CHINI

NA LAYIII ON SPOT
Mwigizaji Wema Sepetu na staa wa single ya ‘leoleo‘ Jokate ambao wamekuwa kuwa mapenzini na Diamond Platnumz kwa time tofauti baada ya kutolewa tuzo za KILI 2015 nchini Tanzania ambako Ali Kiba alipata ushindi wa tuzo nyingi kuliko yeyote mwingine usiku huo walitumia page zao kumpongeza Kiba kwa kuandika maneno yafuatayo.

 UNGANA NAMI SASA

Maneno waliyoandika Jokate na Wema Sepetu baada ya Ali Kiba kushinda tuzo 6 za KILI 2015.



Jokate na Wema Sepetu June 15 2015Mwigizaji Wema Sepetu na staa wa single ya ‘leoleo‘ Jokate ambao wamekuwa kuwa mapenzini na Diamond Platnumz

KWA MARA YA KWANZA ATOBOA NANI AMKUBARI KIMZIKI JE NI NANI HUYO FATANA NAMI

NA LAYIII
Nicki Minaj ni msaani wa kike ambaye tunaweza kumuweka kwenye levo moja na akina Beyonce, uwezo wake wa kudondosha hitsong baada ya hitsong umemfanya aweze kua mmoja kati ya wasaani wakubwa kwenye HipHop wenye ushawishi  mkubwa sana, kitu kinachomfanya Nicki aweze kua ontop daily.

Ulishawahi Kuwaza Nicki Minaj Anamkubali Nani Kimuziki, Maana Ya Tattoo Yake?

nicki miiiiii
Nicki Minaj ni msaani wa kike ambaye tunaweza kumuweka kwenye levo moja na akina Beyonce, uwezo wake wa kudondosha hitsong baada ya hitsong umemfanya aweze kua mmoja kati ya wasaani wakubwa kwenye HipHop wenye ushawishi  mkubwa sana, kitu kinachomfanya Nicki aweze kua ontop daily.

Na kona ya michezo.......... dalili nyingine kwamba Sepp Blatter ataendelea kubakia Rais wa FIFA??

layiiii

blatter-sepp-140321
Sepp Blatter
Huku dunia ikiwa bado haijaweza kumaliza hali ya mshangao ulioibuka kufuatia taarifa za kujiuzulu kwa rais wa FIFA, Sepp Blatter.. taarifa kadhaa nyumbani kwa Rais huyo nchini Uswisi zinadai kuwa huenda akarejea tena madarakani.

advertise here