Monday, 15 June 2015

KWA MARA YA KWANZA ATOBOA NANI AMKUBARI KIMZIKI JE NI NANI HUYO FATANA NAMI

NA LAYIII
Nicki Minaj ni msaani wa kike ambaye tunaweza kumuweka kwenye levo moja na akina Beyonce, uwezo wake wa kudondosha hitsong baada ya hitsong umemfanya aweze kua mmoja kati ya wasaani wakubwa kwenye HipHop wenye ushawishi  mkubwa sana, kitu kinachomfanya Nicki aweze kua ontop daily.

Ulishawahi Kuwaza Nicki Minaj Anamkubali Nani Kimuziki, Maana Ya Tattoo Yake?

nicki miiiiii
Nicki Minaj ni msaani wa kike ambaye tunaweza kumuweka kwenye levo moja na akina Beyonce, uwezo wake wa kudondosha hitsong baada ya hitsong umemfanya aweze kua mmoja kati ya wasaani wakubwa kwenye HipHop wenye ushawishi  mkubwa sana, kitu kinachomfanya Nicki aweze kua ontop daily.

Lakini umeshawahi kuwaza Nicki Minaj anasukumwa na vitu gani ama ni mtu gani anaeiweka focus ya Nicki Minaj kwenye mstari? Nilibahatika kukutana na Interview moja alioifanya na kusema maneno haya >>>
“Nasukumwa sana sana na watu wanaopenda kufanya kazi, watu ambao hawatafuti sababu au visingizio vya kuto kufanya kazi, kama Lil Wayne… Lil Wayne namkubali sana nidhamu yake ya kazi…sijawahi kuona! Watu wakimuona Lil Wayne wanahisi vitu vingine lakini yule mtu yuko serious na sanaa yake na ni mmoja kati ya wanaume wanaonisukuma sana mimi kufanya kazi hata kabla ya kua chini ya Management ya Young Money”.
Nicki-minaj-tattoo-picture
Alipoulizwa juu ya tattoo yake kwenye mkono wake wa kulia Nicki alisema >>>
“Kwanza hii tattoo ina historia ndefu sana, niliipata nkiwa na miaka 16…Baba yangu alinikasirikia sana karibu ya kunifukuza nyumbani…ni maneno ya kichina yanayo maanisha God Is Always With You… hamtaamini ila napenda kua na uhusiano wa karibu na Mungu wangu na hii tattoo ni moja kati ya vitu vinavyonikumbusha kua niko hapa duniani kwa sababu gani”.

 



No comments:

Post a Comment

advertise here