
Miaka kama saba iliyopita, Mchungaji mmoja Mtu wa makamu, alinisimulia Mkasa wa "Majambazi" waliokuja nyumbani kwake kutaka kumuua maeneo ya Kinondoni. Lakini Kimiujiza "Majambazi" hawa wakashikwa na Usingizi wakakutwa asubuhi na Majirani, "Kumbe hawakuwa Majambazi" bali wale watu wa kazi ambao Wamarekani wanawaita Pigs na Tanzania tunawaita "Mbwa"