Monday, 7 November 2016
DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO TATU AFRIMA

Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.
ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMWELI SITTA AFARIKI DUNIA
Spika wa zamani wa bunge la Tanzania Samwel Sitta amefariki dunia akipokea matibabu nchini Ujerumani.
Bw Sitta alikuwa mbunge mstaafu wa jimbo la Urambo lililopo mkoani Tabora.Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu, Bw Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
Amekuwa akipokea matibabu tangu mwezi uliopita.
Subscribe to:
Posts (Atom)