Watu wengi wanatamani kumiliki biashara siku moja na huenda wana mipango mizuri juu ya bishara zao. Mipango hii inaweza ikawa vichwani tu au mingine katika maadishi lakini inapofika wakati wa utekelezaji wa mipango hii ukosefu wa mtaji wa biashara hiyo ni kipingamizi kwa wengi.
Lakini kuna jinsi kadhaa ambazo zinaweza kusaidia upatikanaji wa mitaji kwajili ya biashara.
Aina Za Mitaji Kuna aina mbili ya mitaji kwaajili ya biashara au uwekezaji wa aina yoyote.
Watu nchini Afrika Kusini wamegadhabishwa, kufuatia taarifa za mwanamme mmoja, ambaye analaumiwa kwa kumuua kwa kumpiga risasi mfanyakazi wa shamba, akidhani kuwa mtu huyo ni ngiri.
Stephen Hepburn alifikishwa mahakamani ili kujibu mashtaka ya mauaji.
Yeye na mwenzake wa kike walikuwa wakiwawinda ngiri kwenye shamba moja lililo mkoa wa Limpopo kaskazini siku ya Jumamosi, wakati Jan Railo ambaye alikuwa na umri wa miaka 23 aliuawa.
IDEA
ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara
nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo
lenye tija kwako na kwa jamii nzima
Kiasili binadamu tumepewa uwezo mkubwa wa kufikiri ukitofautisha na
wanyama wengine. Uwezo huu tulionao huwa unakuja hasa kutokana na
matumizi ya mawazo au kufikiri kwetu. Kufikiri huko ambapo tunafanya
kila siku na kila wakati ndipo kunapotufanya tuwe na maisha ya aina
fulani, haijalishi yawe ya mafanikio au kushindwa.
Lakini hata hivyo wengi wetu huwa tunafikiri au tuna mawazo ya kimazoea
na kushindwa kutambua kwamba hayo mawazo yetu pia yamegawanyika. Kwa
mawazo yoyote uliyonayo mara huwa yamegawanyika katika sehemu. Kwa mfano
unapowaza wazo fulani, wazo hilo linakuwa lipo moja
Leo hii karibu kila mtu aliyeajiriwa ukimuuliza je, unafurahia maisha ya
kuajiriwa? Atakwambia hapana ila natamani kujiajiri, na endapo
utaendelea kumuuliza ni kwa nini unatamani kujiajiri? Utamsikia anasema
nataka kuwa huru na muda na pia nahitaji uhuru wa kipesa.
Majibu hayo kwa mtazamo wa wengi ni sawa, ila kuna kitu ambacho ni vyema
ukakijua kabla ya kuamua kuacha kazi na kwenda kujiajiri.
Kujiajiri kuna hitaji ujasiri wa hali ya juu sana maana kuna changamoto
zaidi ya kuajiriwa. Hivyo nakusihi ufikirie kwa umakini sana suala zima
la kuacha kazi kabla kwenda kujiajiri.
Na endapo utaamua kuacha kazi ya kuajiriwa bila ya kufikiria ipo siku
utakuja kujutia uamuzi wako. Hivyo ni vyema ukafikiria mara mbili kabla
ya kufanya maamuzi magumu. Mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kuacha kazi. 1. Kuwa na nidhamu ya muda.
Kwa kuwa kwa sasa bado umeajiriwa, hivyo huna jukumu la kufanya maamuzi
ya matumizi ya muda, Bali unafanya kazi kutokana na muda ambao muajiri
wako ameamua yeye kukupangia kuweza kufanya kazi.
Na kwa kuwa umezoea kufanya kazi kutokana na amri ya mwajiri wako, hata
pale ambapo utaamua kuacha kazi fahamu fika ya kwamba suala la kuwa na
nidhamu ya muda kwako ni suala gumu, hivyo unatakiwa kufanya jitihada
zako binafsi kadri iwezekanavyo hasa katika matumizi sahihi ya kufanya
kazi hasa suala zima la uzalishaji wa mali au huduma.
Nazungumza suala zima la matumizi ya muda kwani hapa ndipo ambapo
tunapata makundi mawili ya watu waliofanikiwa na wasiofanikiwa. Hivyo ni
jambo jema kuhakikisha unazingatia matumizi sahihi ya muda ili pindi
utakapoacha kazi wewe ndiye ambaye utakuwa na jukumu la kupanga muda wa
kufanya kazi na ni muda gani utakuwa ni wa kupumzika. Pia ikiwezekana
ongeza matumizi sahihi ya muda mara mbili zaidi ya ulivyokuwa
umeajiriwa. 2. Kutokuahirisha kufanya mambo ya msingi.
Utakuwa shahidi ya kwamba wakati umeajiriwa suala zima la uahirishaji wa
kufanya mambo ya msingi lilikuwa ni suala gumu sana labda awe ameamua
mwajiri wako. Kama ndivyo hivyo basi pale ambapo utakuwa umeamua
mwenyewe kuacha kazi na kuamua kufanya kazi mwenyewe hivyo huna budi
kuhakikisha ya kwamba suala zima la uhairishaji mambo linakuwa ni suala
ambalo halina nafasi katika maisha yako.
Ukiwa ni mtu wa kufanya kazi kwa kuamua kutenda bila kuahiirisha vitu
vya msingi ama hakika utafika kilele cha mafanikio yako ndani ya muda
mfupi. Ni vyema kulizingatia hili, kwani hili ndilo ambalo limewafanya
watu wengi ambao waliacha kazi kuwa na maisha duni zaidi, kwani wengi
wao walikuwa ni waahirishaji wazuri wa vitu vya msingi
Leo tutashauriana changamoto ya jinsi ya kujua biashara inayolipa kwenye
eneo unaloishi. Moja ya changamoto kubwa ambayo watu wengi wanakutana
nayo ni kushindwa kujua biashara gani wafanye kwenye maeneo yao ili
kuweza kupata faida.
Mara nyingi watu wamekuwa wakiomba ushauri sehemu mbalimbali ikiwemo
kwenye mitandao kuhusu biashara gani wafanye kwenye maeneo yao.
Leo nitakushauri biashara unayoweza kufanya kwenye eneo lolote unaloishi na kupata faida kubwa sana.
SUBSCRIBE HAPA
Bonyeza picha hii kujua kama simu yako itafungwa
Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft
Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini zaidi barani
Afrika, kusini mwa jangwa la sahara, kwa kufuga kuku
Bilionea huyo Bill Gates anasema kuwa kufuga kuku kunaweza kuwa kifaa muhimu katika kukabiliana na ufukara hohe hahe.
Ameahidi kutoa kuku 100,000, na ukurasa katika mtandao wa mradi huo tayari umewavutia na kusambazwa kwa maelfu ya watu.
LIKE PAGE YETU FACEBOOK BOFYA HAPA Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na
Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa
kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa ni kuwa huo
unaweza kuwa anguko la King Kiba badala ya kuwa neema..
Kwanza kabisa kitu ambacho hawakielewi ni kuwa Ali hajasaini na Sony
Music Ent. BMG (ishu yake sio 'global deal') bali amesaini na Sony Music
Africa ambayo ni subsidiary ya Sony Music Entertainment!! Kwa
ninavyoelewa Sony Music Africa wana sambaza mziki na kumanage wanamuziki
ndani ya Africa pekee.. Sasa eidha Ali hajui alichosaini au chumvi
inaongezwa kunogesha habari..
FACEBOOK
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa inafanya uchunguzi dhidi ya
tuhuma zinazowahusu wafanyabiashara wa sukari nchini kwa kuficha bidhaa
hiyo ili kusababisha upungufu katika soko na hivyo kuleta usumbufu kwa
jamii ya watanzania wanaohitaji bidhaa hiyo kwa matumizi jambo ambalo
limesababisha kupanda kwa bei hadi kufikia shilingi elfu nne kwa kilo
moja ya sukari.
like page yetu facebook hapa SWAXBZ ili usipitwe na kila story inayotufikia
Karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri ambapo tunajadili
changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye
maisha.
Leo tutajadili changamoto ya ukosekanaji wa mitaji na jinsi ya kuipata.
Kabla hatujaanza kujadili changamoto hii naomba niweke maoni ya wasomaji
waliotuandikia kuhusu hili;
Mimi ni graduate wa diploma ya uhandisi magari, kila nikifikiria kuanza
kuijajiri nashindwa kutokana na kipato cha kuanzia biashara.. je
nifanyeje niweze kupata kipato cha kujiajiri?
LAYIII
BONYEZA PICHAA HII KUJARIBU BAHATI YAKO
Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza ndani ya sekunde 60 tu utakuwa umetengeneza zaidi ya 85% faida
kadilia ni mwelekeo upi bei itaelekea kama itapanda au itashuka kisha utatengeneza zaidi ya 85% kama utaweza kufauru kukadilia
JISAJIRI HAPA KWA MAJARIBIO
Kabla ya mwaka 1884, nchi yetu ilikuwa inatumia sarafu moja ya Riyal
iliyokuwa imetolewa na Sultan wa Zanzibar chini ya Sultani wa Oman.
Sarafu za Riyal zilikuwa kama ifuatavyo
Riyal
Baada ya 1884, Zanzibar ilitumia sarafu za aina tatu kwa mpigo. Sarafu
ya kwanza ilijulikana kama Maria Theresa Thaler iliyotolewa Italy,
ilikuwa na sura ifuatayo.
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja au wateja Fulani siku
hizi huwaoni katika biashara yako, unaanza kumtafuta mchawi ni nani
katika biashara yako kumbe mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unaweza
ukawavuta wateja wengi au mteja au ukaongeza mteja ,wateja katika
biashara yako hii inatokana tu na jinsi gani unatoa huduma yako na
kumhudumia mteja pia.
Leo tutaangalia ni sababu gani ambazo zinaweza kusababisha kumpoteza au kumkera mteja wako nazo ni;
Habari za siku rafiki na mpenzi msomaji wa DIRA YA MAFANIKIO, bila shaka
umzima wa afya na unaendelea vyema kujifunza ili kuboresha maisha yako.
Leo katika makala yetu napenda kukushirikisha namna unavyoweza kuipata
nguvu kubwa ya mafanikio utakayoweza kuitumia kuweza kutimiza malengo
yako makubwa.
Hasira za mafanikio zinatofautiana baina ya mtu mmoja na mwingine. Kama
kweli unahitaji mafanikio ya kweli ni lazima uwe na hasira ya njaa kama
aliyonayo simba. Miongoni mwetu ni watu wachache sana wanatambua hasira
hii ya mafanikio, wengi wetu huchukulia mafanikio kwa sura ya kawaida
sana na mwisho wa siku tunaishia kuwa maskini.
Kwa muda mrefu fedha zilizotumia katika
nchi hii zilikuwa ni sarafu. Noti za karatsi zilianza kutumiaka mwaka
1905 wakati wa utawala wa mjerumani kwa upande wa bara. Noti hizo
zilitolweka katika thamani ya Rupie 5, 10, 50, 100 na rupie 500 kama
ionekanavyo hapa chini. Noti za rupie 500 zilikuwa chache sana na
sikufanikiwa kupata picha yake