Stori ninayotaka kukusogezea ni hii
kutoka kwa mkongwe wa Hip Hop Joseph Haule aka Professor Jay ambaye wiki
zilizopita alishinda kura za maoni kupitia chama cha Demokrasia na
Maendeleo katika Jimbo la mikumi Morogoro.
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Agosti 8,2015 tayari
nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa,
headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na
Hardnews, zote ziko hapa