Sunday, 8 May 2016

THE ‘INDUSTRY’ YA NAVY KENZO KUPANUKA NA WASANII WAMPYA.

Bonyeza hapa kulike page yetu usipitwe na habari zetu FACEBOOK
The ‘Industry’ ya Navy Kenzo Kupanuka na wasanii wampya.
Label ya The industry inayo ongozwa na Navy Kenzo (Nahreel na Aika) wameongeza wasanii wapya kwenye Label hiyo na kuwatambulisha leo hii
Rosaree huyu ni mwanadada ambaye anakipaji cha kurap ambaye anajiita Rap Goddess akiwahadi mashabiki wa muziki nchini wawe tayari kusikia ukali wake kwenye gemu ya kurap.
Msanii mwingine kujiunga na label hiyo ni Selene huyu ni mwanadada ambaye anaimba,naye amepata fursa ya kuweza kujiunga na kundi hili la the Industry.
Label hii pia hakuangalia tu wanadada warembo bali pia waliweza kumchagua Kijana anayenda kwa jina la willdad ambeye yeye anakipaji cha kucheza na kuimba kwa pamoja.

MAUWAJI GUEST/ CAMERA KUFUNGWA KATIKA NYUMBA ZA KULALA WAGENI.........KAULI YA MEYA WA JIJI

Like page yetu hapa FACEBOOK
Bonyeza picha kujiunga na BZTVONLINE
https://www.youtube.com/watch?v=OeY2q_a-xSQD
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameshauri kufungwa kwa kamera maalumu  za CCTV kwenye  nyumba zote za kulala wageni na hoteli ili kuimarisha ulinzi.

Ushauri huo wa Mwita unakuja baada ya  siku sita  kupita , kutokea kwa tukio la mwanamke mmoja kufariki dunia akiwa gesti.

Mwita ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vijibweni (Chadema), alisema mamlaka husika wakiwamo wamiliki wa hoteli na nyumba hizo waliangalie suala hilo kwa jicho la tatu kwani litasaidia kwa kiasi kikubwa kuzuia

MKE WANGU ANADAI MAPENZI KILA SIKU ATANIUA

LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK
Bonyeza picha hii kujua kinacho endelea katika page za udaku
https://www.youtube.com/watch?v=VKujJhHa9fY
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita amekuwa akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku.

Leo nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa manane nifanye nae mapenzi nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku tatu mbele target yangu ni kuwa baada ya siku tatu anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumzo ya kutosha.

MATAJIRI TANZANIA TUMBO JOTO, WALIO FICHA SUKARI WAUKWA... IJUE KAULI YA RAIS KWA MATAJIRI WAHUJUMU UCHUMI

FACEBOOK
https://www.youtube.com/watch?v=cQFl2V9IFUA
 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa inafanya uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowahusu  wafanyabiashara wa sukari nchini kwa kuficha bidhaa hiyo ili  kusababisha upungufu katika soko na hivyo kuleta usumbufu kwa jamii ya watanzania wanaohitaji bidhaa hiyo kwa matumizi jambo ambalo limesababisha kupanda kwa bei hadi kufikia shilingi elfu nne kwa kilo moja ya sukari.

KUNDI LA MAUAJI RWANDA NAIBU KAMANDA MIKONINI MWA SHERIA

LIKE US ON FACEBOOK
Bofya picha hii kujiunga na bztv online
https://www.youtube.com/watch?v=_2xr9mgpj4s
Mpiganaji wa kundi la FDLR 
 
Wakuu wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo wanasema wamemkamata naibu kamanda wa kundi la wapiganaji, linalohusishwa na mauaji makubwa ya Rwanda ya mwaka 1994.
Msemaji wa serikali, alieleza kuwa Jenerali Leopold Mujyambere, wa kundi la Rwanda la FDLR,

DUNIA NA VIJIMAMBO MDORI UNAOTUMIKA KWA NGONO WADHANIWA KUWA MALAIKA

Like page yetu hapa usipitwe na story yoyote FACEBOOK
BONYEZA picha hii kujiunga na bztv uone video za midoli zaidi ya hii

https://www.youtube.com/watch?v=cQFl2V9IFUA
Maafisa wa polisi nchini Indonesia wamekipokonya kijiji kimoja mwanasesere anayetumika kufanyia tendo la ngono baada ya wakaazi wa eneo hilo kudhania kwamba alikuwa malaika.

advertise here