Bonyeza hapa kulike page yetu usipitwe na habari zetu FACEBOOK
Label ya The industry inayo ongozwa na Navy Kenzo (Nahreel na Aika) wameongeza wasanii wapya kwenye Label hiyo na kuwatambulisha leo hii
Rosaree huyu ni mwanadada ambaye anakipaji cha kurap ambaye anajiita Rap Goddess akiwahadi mashabiki wa muziki nchini wawe tayari kusikia ukali wake kwenye gemu ya kurap.
Msanii mwingine kujiunga na label hiyo ni Selene huyu ni mwanadada ambaye anaimba,naye amepata fursa ya kuweza kujiunga na kundi hili la the Industry.
Label hii pia hakuangalia tu wanadada warembo bali pia waliweza kumchagua Kijana anayenda kwa jina la willdad ambeye yeye anakipaji cha kucheza na kuimba kwa pamoja.
Kiongozi wa Label hiyo Nahreel alielezea jinsi gani watakuwa wakifanya kazi kwa pamoja na kuonyesha vipaji vya wasanii wapya kwenye label hiyo mpya.
kwa maelezo zaidi sikiliza show nzima ndani ya the Playlist na Chipuka wikendi hii upate kujia uanzilishi na nini cha kutarajia kutoka kwa wasanii hao wapya wa kwenye label hiyo.
Msanii mpya wa The Industry Willdad
Msanii mpya mwingine mpya wa The Industry Rosaree

No comments:
Post a Comment