MISS TANZANIA NAMBA TATU 2014 AONGOZA WAKAZI WA DAR KATIKA KUCHANGIA DAMU
Mshindi
wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la
uchangiaji damu ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake
Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto
Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya
Damu Salama,Selina Joseph. Zoezi hilo la
uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo.
No comments:
Post a Comment