KWA MAMBO HAYA MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU KWA KWELI DUUU
Mtoto
albino, Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta,
mkoani Rukwa jana ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja
cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho
kusikojulikana.
No comments:
Post a Comment