Thursday, 7 July 2016

BIFU LA ‘JIKE SHUPA’ NA SHILOLE MTANDAONI, NUH MZIWANDA AFUNGUKA

SUBSCRIBE KTK CHANNEL YETU HAPA
Hivi karibuni kumekuwa na mabishano kwenye mitandao ya kijamii kati ya video queen wa ngoma ya Nuh Mziwanda na aliyekuwa na mpenzi wake Shilole, Nuh Mziwanda amepiga stori na Clouds FM.
Mziwanda Akiwa na video queen  wa kwenye video ya jike shupa
Mziwanda Akiwa na video queen wa kwenye video ya jike shupa
‘’Wale ni wanawake kwahiyo zile ni tofauti zao kwahiyo siwezi kuingilia na siwezi kuongea chochote yule demu mie nilimlipa pesa yake ya video akafanya kazi yangu kamaliza masuala yake yanayoendelea kimpango wake, kwahiyo siwezi kuingilia na wala sitaki kufuatilia na wala sitaki kujua kwasabbau nimeshamalizana

YOUNG D:NIMEMRUDIA MUNGU SASA

subscribe katika channel yetu hapa
Msanii Young D ambaye siku za karibuni ameweza kuachana na matumizi ya dawa za kulevya amefunguka na kusema kwa sasa ameamua kumrudia Mungu ili kujijenga na kuzidi kujiimarisha zaidi kiimani ili asiweze kurudi gizani alikotoka.
YOUNG D
Young D
Young D amesema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Young D anadai kuwa alikuwa anapigana vita kati ya nafsi na roho kwa yeye kushinda vita hiyo imempa nafasi kuweza kutumia muda wake wa ziada kusoma sana biblia na vitabu vya dini ili kujiimarisha kiimani ili asiweze

BABU SEYA, PAPII WAMWANGUKIA JPM

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
MWANAMUZIKI Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ ambao wanasota jela kwa kosa la kuwanajisi watoto 9, wamedaiwa kusaka uwezekano wa kujinasua gerezani kwa kumuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.
Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza
Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza
Taarifa kutoka kwa chanzo makini zimeeleza kuwa wanamuziki hao kwa kushirikiana na ndugu zao, wamemuandikia barua binafsi rais ili aweze kusikia kilio chao na ikiwezekana wasamehewe kutokana na mamlaka aliyo nayo.
“Si unakumbuka kipindi kile waliwahi kumuandikia waraka JK (Jakaya Kikwete, rais wa awamu ya nne) kumuomba awasamehe lakini bahati mbaya maombi yao hayakuzaa matunda! Wameona wajaribu kwa

VIDEO: KUTANA NA MBWA WATANO WALIO FANANA SURA NA MASTAA WAKUBWA DUNIANI

BONYEZA HAPA SUBSCRIBE 
Kuna baadhi ya watu husema mbwa hufanana na wale wanao wamiliki lakini kuna baadhi ya mbwa ambao wamekuwa na ushawishi na mvuto zaidi kwa mastaa wanao wamiliki

Endelea kushuka chini kwa video kali usiache kusubscribe

Snoop Dogg

Ukimwona vizuri mbwa huyu anafanana kabisa

WATOTO 5 WENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Senter
8-the-strongest-kids-in-the-world05
 
CJ Senter alianza mazoezi yake ya kuweka mwili na viungo vyake sawa tangu akiwa na umri wa miaka 5 huko america. Akiwa na umri wa miaka kumi senter alianza kutoa video kwa dvd zikimwonesha umbile lake(six pacs) na kupelekea kuingia katika chat za watoto wenye nguvu zaidi duniani

advertise here