Thursday, 7 July 2016

VIDEO: KUTANA NA MBWA WATANO WALIO FANANA SURA NA MASTAA WAKUBWA DUNIANI

BONYEZA HAPA SUBSCRIBE 
Kuna baadhi ya watu husema mbwa hufanana na wale wanao wamiliki lakini kuna baadhi ya mbwa ambao wamekuwa na ushawishi na mvuto zaidi kwa mastaa wanao wamiliki

Endelea kushuka chini kwa video kali usiache kusubscribe

Snoop Dogg

Ukimwona vizuri mbwa huyu anafanana kabisa
na jamaa hapo juu

 

Vladimir Putin

Huyu mbwa anamfanano live bila chenga na raisi wa russia yaani daah ni very funny

Cher

This dog has the same gorgeous blonde mane as the ageless singer.

Whoopi Goldberg

Unaweza kusema walienda saloon moja kusuka ni nouma

 

Kate Middleton

This pooch has the same flouncy brown hair that the Duchess of Cambridge is known for.

Watch the video below


No comments:

Post a Comment

advertise here