Wednesday, 6 July 2016

KUTANA NA MWANAMKE MWENYE TATUU KULIKO WOTE DUNIANI

SUBSCRIBE YOUTUBE HAPA
The lady who garnered the title of Illustrated Lady is covered in tattoos. Literally, she has covered 95 percent of her figure with different kinds of tattoos. This achievement has also earned her a place in the Guinness Book of World Records. Julia Gnuse is, indeed, a very unique woman.

Scroll down for video

This is Julia Gnuse

  5 Viral
World Amazing Records
Julia is an American woman from Flint, Michigan. When she was in her mid-thirties, she was diagnosed with the disease porphyria, and that became a turning point in her life.
The disease is signified by skin that gets wounded when the person is exposed to the sunlight. Porphyria can be inherited or happen spontaneously. King George III and Mary, Queen of Scots

HAWA NDIO WATOTO 8 WENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI

SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU HAPA
Giuliano and Claudiu Stroe
8-the-strongest-kids-in-the-world01
Watoto wawili wa kiroma wanaonekana kuwa na nguvu zaidi na wanao uwezo wa kufanya mazoezi kwa nguvu. Pia wameendelea kukuzwa katika taaluma yao hio ikiwa ni moja ya kuwalindia profesional yao. Guiliano hivi karibuni aliingia katika headlines wakati alipopost video yake akionyesha uwezo wake wa nyuzi 90 push ups. ilikuwa kama ndoto kwa kijana wa miaka 9

HAWA NDIO WANAWAKE 11 WENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI WANANYAMA NI SHIDA TUPU

SUBSCRIBE YOUTUBE HAPA MTU WANGU

Iris Kyle

Mwaka wa kuzaliwa 22, 1974, in Michigan
Urefu 5 ft 7 in
Uzito kwa muhula : 157–165 lb


Taaluma yake ni utengenezaji na mazoezi ya viungo

 Iris Kyle  alianza taaluma yake mwaka 1999 alikuwa mtu wa kwanza katika olimpia 2001 na kuanzia mwaka 2006 hadi 2014 alikuwa ni mtu asiye pitwa na mtu katika taaluma yake na mashindano mbali mbali.

VIDEO MAAJABU: HILI NDIO PANGOKUBWA KUPITA YOTE DUNIANI

Subscribe youtube hapa 

Kurbera-Voronja

Pango la kurber- limekuwa likijulikana kama ndio pango lenye urefu mkubwa kupita yote duniani pango hili linakadiliwa kuwa na urefu wa mita 2,197 na ndio linalo julikana kwa sasa kama ndio pango kubwa kupita yote duniani. 
    "" The cave, which is located in Arabika Massif of the Gagra Range in the western region of the Caucasus in South Russia. The entrance is high up at an altitude of 2,256 meters, with a very narrow entrance. Over the years, cavers have sought to completely discover all the cave’s chambers. ""

HAYA NDIYO MAGARI MATANO MAKUBWA ZAIDI DUNIANI

SUBSCRIBE KTK CHANNEL YETU HAPA

Midnight Rider

limousines
This limo is not your ordinary dude. It holds the Guinness Book of World Record for the heaviest limo ever made. It weighs 22,933 kgs and is 70-foot long and 13-foot wide. It was designed by American designers Pamela Bartholemew and Michael Machado. Midnight Rider is a good but quite strange name, but before you make up your own story behind it, you have to know that its horn plays the theme song from the film Midnight Rider, so that’s why it’s named like that.
How will you know that a celebrity is approaching during a red-carpet premiere? When a limousine’s in view. That’s how stars make an elegant entrance—stepping out from a stretch limo and getting down to a

VIDEO GIGY MONEY; WASANII WOTE NIMEPITA NIMEBAKIZA LINEX TU

https://www.youtube.com/watch?v=vloPT9f-IaU Gigy money katamka kuwa sananii wote tayari kesha pita kabakiza linex tu ... hii ni video yake ikionesha jinsi anavyojitambishia mskilize hapa mtu wangu

KINGINE ALICHO TAMKA DONALD TRUMP KUHUSU SADDAM HUSSEIN NA GADDAFI...ADAI YAFUATAYO

https://www.youtube.com/watch?v=vloPT9f-IaU
Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amemsifu kiongozi wa zamani wa Iraq Saddam Hussein akisema aliweza kukabiliana vyema na magaidi.

Bw Trump alikuwa akihutubia mkutano wa kampeni eneo jimbo la North Carolina Jumanne alioanza kuzungumza kuhusu kiongozi huyo aliyeuawa kwa kunyongwa Desemba 2006.

advertise here