Wednesday, 17 June 2015

ISSUE TATU HOT KUTOKA ITV

NA LAYIII
eo ndio mwisho wa Matangazo ya TV kwa Mfumo wa Analogy Tanzania
Wakati TZ ikitangaza kuzima Mitambo ya kurushia Matanagazo ya Digital mwaka 2012 ilkuwa ishu ambayo watu wengi hawakukubaliana nayo, ilikuwa kama watu wamewahishwa kuingia kwenye mfumo huo mpya wa Matangazo, leo iko stori nyingine kutoka TCRA ambapo wametangaza rasmi kwamba leo ndio siku ya mwisho kwa Matangazo ya Analogy kuruka Tanzania.

Stori kubwa tatu kutoka ITV>>> Ajali ya moto Dar, mwisho wa Matangazo ya Analogy Tanzania, Wabunge na bidhaa za nje.. (Audio))

 
News Hour JPEG 590X332 
Leo ndio mwisho wa Matangazo ya TV kwa Mfumo wa Analogy Tanzania

Wakati TZ ikitangaza kuzima Mitambo ya kurushia Matanagazo ya Digital mwaka 2012 ilkuwa ishu ambayo watu wengi hawakukubaliana nayo, ilikuwa kama watu wamewahishwa kuingia kwenye mfumo huo mpya wa Matangazo, leo iko stori nyingine kutoka TCRA ambapo wametangaza rasm

kona ya soka manchester yaibua kitu

layii
Klabu ya Manchester City imetuma ofa ya paundi milioni 40 kwenda kwa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumnunua kiungo mshambuliaji raia wa England, Raheem Sterling.

sterling
Klabu ya Manchester City imetuma ofa ya paundi milioni 40 kwenda kwa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumnunua kiungo mshambuliaji raia wa England, Raheem Sterling.
Ofa hii inakuwa ya pili toka kwa City ambao wanaonekana kuwa wamepania katika azma yao ya kumsajili kiungo huyu ambaye ametokea kuwa moja kati ya wachezaji muhimu kwenye kikosi cha Liverpool na timu ya taifa ya England katika siku za hivi karibuni.

MAPYA YAIBUKA STAA MKUBWA IRENE UWOYA ANA MIMBA TENA

LAYIII
Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.


Ni kweli Irene Uwoya ana mimba? Msami kazungumza hapa na Soudy Brown…#Uheard (Audio)

msami
Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.
Awali alikanusha taarifa lakini baadaye akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli  basi ni ya kwake huku akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli.
SIKILIZA HAPA
 

 

WADAU WANGU WA SOKA RATIBA YENU LIGI KUU ENGLAND IKO HAPA

LAYIIIII ON SPOT

Ratiba ligi kuu ya England msimu ujao yote iko hapa mtu wangu..!!

fixx
Ratiba ya ligi kuu ya England tayari imetoka rasmi ambapo mabingwa wa ligi hiyo, Klabu ya Chelsea itaanza kutetea taji la ligi hiyo wakati itakapoikaribisha nyumbani Swansea siku ya August 8 2015.

WEMA, JOKATE WAMZOMEA DIAMOND!

LAYIII
KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baa
Musa Mateja
KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu

KIMBEMBE CHAIBUKA FIFA JE WADAU WA SOKA WANASEMAJE UNGANA NAMI HAPA

LAYIIII
Kiungo wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Chile, Arturo Vidal amekumbwa na mkasa ambao huenda atapenda kuusahau haraka iwezekanavyo wakati akiwa na timu yake ya taifa ambayo kwa mwaka huu imekuwa mwenyeji wa michuano ya Copa America.

Hali si shwari ndani ya FIFA, kashfa zazidi kufichuliwa !!

0D62059700000514-0-Russia_and_Qatar_are_the_respective_hosts_of_the_2018_and_2022_W-m-7_1434533375341
Wapelelezi wanaofatilia kashfa ya rushwa inayohusu shirikisho la soka ulimwenguni FIFA wameahidi kufichua makubwa zaidi baada ya kugundua siri nzito zilizojificha kwenye mchakato wa kuchagua mwenyeji wa kombe la dunia.

advertise here