JAMANIMICHEPUKO SIYO DILI ELEWENI EMBU ANGALIYO YALIYO JILI HAPA JAMANI
MWANAMKE
mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, mwishoni mwa wiki
iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanawake
kumvamia kazini kwake na kuanza kumsimanga kwa kitendo chake cha
kuchepuka na mume wa mtu huku akipigiwa ngoma maarufu kama kibao kata.
Subscribe to:
Posts (Atom)