Mhubiri mashuhuri raia wa Nigeria TB Joshua amevunja kimya baada ya
utabiri wake kuwa mgombea urais nchini Marekani Hillary Clinton
angeshinda, kugonga mwamba.
Mhubiri huyo alikejeliwa kwenye mitandao ya kijamii wakati ujumbe wa
utabiri wake, kufutwa na baadaye kurejeshwa katika akaunti yake ya
Facebook kufuatia ushindi wa Donald Trump.
Hata hivyo, wafuasia wake wamekuwa wakimtetea wakisema kuwa utabiri wake
ulitimia kwa sababu