Saturday 18 June 2016

MAZITO KUHUSU RAY C NA MKURUGENZI WA SOBER HOUSE

SUBSCRIBE HAPA
https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?annotation_id=annotation_1401368297&feature=iv&src_vid=8eCSdA3DiyY&sub_confirmation=1Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
MKURUGENZI wa Kituo cha Kusaidia Waathilika wa Dawa Za Kulevya, Sober House, kilichopo Bagamoyo, Pwani, Karim Banji amekanusha taarifa zinazosambaa kuwa mwanamuziki mkongwe wa

Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amepelekwa katika kituo hicho.
Akizungumza na mtandao huu uliofunga safari mpaka kituoni hapo, Karim alisema kuwa ni kweli siku ya jana (Ijumaa) alipokea taarifa kutoka kwa watu wa karibu wa mwanamuziki huyo kuwa wange

UBELGIJI YAILAZA JAMHURI YA IRELAND

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU


Romelu Lukaku alifunga mabao mawili huku timu ya taifa la Ubelgiji ikipata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Euro2016 na kuharibu fursa ya timu ya Jamhuri ya Ireland kufika robo fainali.
Baada ya kukamilika kwa kipindi cha kwanza ambapo hakuna timu ilioona lango la

KUNA WATU WANATAMANI UHABA WA SUKARI UENDELEE PITIA MAONI YA WATU HAWA HAPA MTU WANGU

SUBSCRIBE HAPA HUTAPITWA NA VIDEO YOYOTE MTU WANGU
SOURCE NA MILLARDAYO.COM
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la habari leo, yenye kichwa cha habari ‘Wenye kisukari watamani uhaba wa sukari uendelee’
Gazeti hilo limeripoti kuhusu Mwenyekiti wa chama cha wenye kisukari Tanzania, Prof Andrew Swai ambaye ametamani sukari iendelee kuadimika na bei yake kuwa juu ili matumizi yake yapungue kwa jamii kutokana na madhara ya bidhaa hiyo kwa mwili wa binadamu.
Gazeti hilo limesema Prof Swai ameyazungumza hayo jana jijini Dar es salaam wakati wa semina kwa waandishi wa habari iliyolenga kuelimisha juu ya magonjwa yasiyoambukiza  Prof Swai ambaye ni daktari katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alisema matumizi ya sukari ni moja ya kichocheo cha magonhjwa yasiyoambukiza kama kisukari na shinikizo la damu 

INAONEKANA KUNA TATIZO KATI YA PRODUCER NAHREEL NA KUNDI LA WEUSI KUNA CHANZO KIONE HAPA

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
https://www.youtube.com/watch?v=XW8wPiVJxpEHivi karibuni kumeibuka taarifa kuwa ule ukaribu uliokuwepo mwanzo kati ya kundi la Navy Kenzo na Weusi umepotea tangu yalipofanyika mabadiliko ya studio ya The Industry. Nahreel amesema hilo siyo kweli bado ni washkaji kama zamani tofauti watu wanavyowachukulia.

Navy Kenzo na Weusi wamekuwa watu wa karibu sana hali iliyopelekea watu kuona wivu kwa kusema kuwa Nahreel anawapendelea wasanii hao kwa kuwatengenezea beat nzuri zaidi ya wasanii wengine.

Akiongea na Bongo5, Nahreel amesema kuwa wao na Weusi bado ni washkaji na bado wana kazi zao kwenye studio yake hazijatoka.

“Ni kweli utaratibu umebadilika na mimi kama mfanyabiashara mwingine lazima kila siku niendelee kuweka

advertise here