SUBSCRIBE HAPA HUTAPITWA NA VIDEO YOYOTE MTU WANGU
SOURCE NA MILLARDAYO.COM
SOURCE NA MILLARDAYO.COM
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la habari leo, yenye kichwa cha habari ‘Wenye kisukari watamani uhaba wa sukari uendelee’
#HabariLEO Wenye kisukari watamani uhaba wa sukari uendelee kutokana na madhara ya sukari kwa mwili wa binadamu pic.twitter.com/7R2tj3AfKc— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
Gazeti hilo limeripoti kuhusu Mwenyekiti wa chama cha wenye kisukari Tanzania, Prof Andrew Swai ambaye
ametamani sukari iendelee kuadimika na bei yake kuwa juu ili matumizi
yake yapungue kwa jamii kutokana na madhara ya bidhaa hiyo kwa mwili wa
binadamu.
Gazeti
hilo limesema Prof Swai ameyazungumza hayo jana jijini Dar es salaam
wakati wa semina kwa waandishi wa habari iliyolenga kuelimisha juu ya
magonjwa yasiyoambukiza Prof Swai ambaye ni daktari katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili alisema matumizi ya sukari ni moja ya kichocheo cha
magonhjwa yasiyoambukiza kama kisukari na shinikizo la damu
Prof Swai amenukuliwa na Gazeti la Habari Leo akisema…………….>>>‘Kwa
upande wa sekta ya afya tunaona ni vizuri sukari kuadimika ndio maana
nchi kama uingereza inapandisha bei ya sukari kuanzia mwakani ili
kudhibiti matumizi makubwa ya sukari hivyo kuongeeka bei ni njia
mojawapo ya kuzuia watu wasitumie’
Hata hivyo
alisema anatambua kuadimika kwa sukari nchini hakutokani na sababu za
kiafya lakini ni vyema serikali kuiga hatua kama ya Uingereza na nchi
zilizoendelea za kupandisha bei vitu vinavyochangia magonjwa yasiyo
ambukiza kama sukari, tumbaku na vileo.
Unaweza kuzipitia hapa habari nyingine zilizoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania
#NIPASHE Wakati Jeshi la polisi likiendelea kumtafuta Gwajima inadaiwa kuwa ametimka nchini tangu jumatano pic.twitter.com/patzcwPWqv— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#NIPASHE Aliyeghushi shahada zilizomwezesha kupata wadhifa mkubwa alioutumikia zaidi ya miaka 10 sasa anachunguzwa pic.twitter.com/0Oqvo6pwBB— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#MTANZANIA Wabunge CHADEMA, Suzan Lyimo na Anatropia Theonist wasimamishwa kuhudhuria vikao kwa kosa la kusema uongo pic.twitter.com/G6DGl4NzGU— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
SKILIZA ALICHOKIONGEA MAGUFULI KATIKA VIDEO HII HAPA MTU WANGU #MTANZANIA Wanazuoni watofautiana kuhusu mwenendo wa uongozi na hatua za kinidhamu zinazochukuliwa na Rais Magufuli pic.twitter.com/DVuiHpfJoF— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#MTANZANIA TCRA imezima namba tambulishi (IMEI) 603,000 sawa na 2.9% ya vifaa vya mawasiliano pamoja na simu feki pic.twitter.com/ZnpeL7hpJj— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#MTANZANIA Mahakama Dar imewahukumu wanane faini 400,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuombaomba na uzururaji pic.twitter.com/oP7XffKVJa— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#HabariLEO Waziri Simbachawene amemuagiza RC Makonda kuhakikisha hakuna mfanyabiashara ktk maeneo ya 'mataa' pic.twitter.com/w1rckQ8O0V— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#HabariLEO Benki ya dunia imetoa nyongeza ya fedha bilioni 400 kwa ajili ya miradi ya kuondoa umaskini pic.twitter.com/cOJNiv4fCw— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#HabariLEO Anusurika kuuawa kwa mapanga baada ya bibi yake kumuuza kwa wauaji ili wachukua sehemu ya viungo vyake pic.twitter.com/zMVozDf73H— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#MWANANCHI RC Makonda amesema bodaboda wasiovaa helmet watakamatwa na kushtakiwa kwa kosa la kutaka kujiua pic.twitter.com/lof98hE10U— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#MWANANCHI Waziri Mwijage akiri tatizo la sukari hata yeye linamsumbua kutokana na shida wanayopata Watanzania pic.twitter.com/SAhrWlhQZQ— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
#MWANANCHI Utafiti umeonyesha 92.6% wenye shinikizo la damu nchini hawafahamu kama wanaugua ugonjwa huo pic.twitter.com/aPvyKdIowo— millard ayo (@millardayo) June 18, 2016
No comments:
Post a Comment