LAYIII
JIUNGE NA BZTV BONYEZA PICHA HAPA
JIUNGE NA BZTV BONYEZA PICHA HAPA
Maumivu ya tumbo ni dalili inayosumbua watu wengi kwa wakati na umri
tofauti. Karibu kila mtu katika maisha yake atapata namna fulani ya
maumivu ya tumbo. Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha maumivu ya
tumbo na mara nyingi huwa sio za kutisha, hutubiwa na kupona. Mara
chache husababishwa na hali ambazo zinaweza kuhatarisha maisha yako.
Maumivu yanaweza kuwa katika sehemu maalum ya tumbo au tumbo zima.